Home page in Swahili

KARIBU

Kituo cha Ujamaa ni jukwaa la ushirikiano kati ya wataalamu wa Biblia na teologia wanaojihusisha na jamii, wasomi wanamageuzi, na wanajamii waliomaskini, wafanyakazi, na wanyonge. Kwa pamoja tunatumia raslimali za kibiblia na kiteologia kuleta mabadiliko binafsi na ya jamii.

Karibu katika tovuti yetu! Kwenye tovuti hii utapata taarifa kuhusu Kituo cha Ujamaahistoria yetu, makusudi yetumuundo wa taasisi kwa sasa, idara zetushughuli zetu na kampeni zetu, mbinu ya mtaala (MBMH), mihadhara yeturaslimali zetuwashirika wetu, na namna ya kuwasiliana nasi.

Hapa utapata vipeperushi vyetu vipya (in English)

 

Picha ya Pamoja ya Ujamaa  Februari 2016