KARIBU

Kituo cha Ujamaa ni jukwaa la ushirikiano kati ya wataalamu wa Biblia na teologia wanaojihusisha na jamii, wasomi wanamageuzi, na wanajamii waliomaskini, wafanyakazi, na wanyonge. Kwa pamoja tunatumia raslimali za kibiblia na kiteologia kuleta mabadiliko binafsi na ya jamii.

Karibu katika tovuti yetu! Kwenye tovuti hii utapata taarifa kuhusu Kituo cha Ujamaa, historia yetu, makusudi yetu, muundo wa taasisi kwa sasa, idara zetushughuli zetu na kampeni zetu, mbinu ya mtaala (MBMH), mihadhara yeturaslimali zetu, washirika wetu, na namna ya kuwasiliana nasi.

Hapa utapata vipeperushi vyetu vipya (in English)


 

 

Picha ya Pamoja ya Ujamaa  Februari 2016

 

 

Latest News


Latest EventsContact
Ujamaa Centre School of Religion Philosophy and Classics 
University of KwaZulu-Natal  
Tel: +27 (33) 260 5850; 
Fax: +27 (33) 260 5858  
Email: west@ukzn.ac.za
Contact
Mrs Comilla Laban, 
Administrator and Financial Officer of Ujamaa Centre  
Tel: +27(33)260 6295,  
Email: labanc@ukzn.ac.za
Website
ujamaanews@outlook.com
Contact Webmaster | View the Promotion of Access to Information Act | View our Privacy Policy
© University of KwaZulu-Natal: All Rights Reserved