MIHADHARA

Kituo cha Ujamaa huandaa mihadhara inayowakutanisha wanataaluma na wanajamii; kwa hiyo ‘Mihadhara’ huwa na taswira ya maisha halisia. ‘Mihadhara’ ni tukio la ushirikiano na ushirikishwaji wa jamii. Mihadhara hii hugusa mikazo mitano ya kitheologia ya Kituo chetu, na mihadhara hii hufanyika katika kipindi cha mwaka mzima.

* Mhadhara wa Eudy Simelane unahusu Theologia ya Mwili na Jinsi ya Binadamu

* Mhadhara wa Mzwandile Nunes unahusu Theologia ya Mkate na Haki ya Kiuchumi

* Mhadhara wa Gunther Wittenberg unahusu Theologia ya Mazingira

* Mhadhara wa Isaiah Shembe unahusu Theologia ya Watu & Makundi Mapya ya Kidini

* Mhadhara wa Allan Boesak unahusu Theologia ya Umma & Kanisa na Siasa



Contact Webmaster | View the Promotion of Access to Information Act | View our Privacy Policy
© University of KwaZulu-Natal: All Rights Reserved